ukitoka JF unakumbuka shida zako,halafu unarudi tena JF..lol
ukitoka JF unakumbuka shida zako,halafu unarudi tena JF..lol
Na mm Najiuliz huo mda ambao unasoma hizo comment za majibu uliyoyaomba unautoa wapi wakat mda wote ww upo kazini,Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Sure, halafu utatukuta tunajiachia kwenye Celebrity forum kuponda kwamba Ali Kiba hana utajiri, Diamond hajanunua nyumba fulani, nk.
Hapo wengine tumeingia kwa freebasics.
Toa dili mkuu uone kam utatuona tenaNisaidieni, najiuliza sipati jibu
Usikariri mkuu wengine mtandaoni ndiyo ofisi
Kushinda mitandaoni maana yake ni nini?
mkuu jiongeze,wengi wetu ni jobless
ni shidaaaaaaa .... sema wengine huw tuna refresh mind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una Umri Gani?
Shida yako nini labda
Mtu kazi yake ni Forex unataka ashinde kwenye tawi la CCM?
Bora umemwambia boss,,,mkuu jiongeze,wengi wetu ni jobless
Mnafanya kazi gani ?
Tunabet na kufanya kazi kwenye blogs.Mnafanya kazi gani ?
Blog gani?Tunabet na kufanya kazi kwenye blogs.
Pita hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Tunasoma comment kulike na kuquote shida yako nini
Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Kwani we unaelewa nini maana ya kazi
Kushinda mitandaoni maana yake ni nini?
Swali linajibiwa na jibu sio swali tenaUna Umri Gani?
Blog zote za ngono.Blog gani?