Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mleta mada hapa hutopata jibu sahihi, utapigwa mawe mpaka ukimbie!!, si umeona mwenyewe kazi hiyo?!!, wewe umeweka ugoko, wenzio wanaweka chuma.
 
Swali linajibiwa na jibu sio swali tena
Piteni hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mimi in mwanasaikolojia lazima nifahamu kwanza then nitaweza kukusadia
 
Swali linajibiwa na jibu sio swali tena
Piteni hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]

Swali lako lina utata.

Mimi ninataka ufafanuzi wa maana ya "kushinda mitandaoni" ili niweze kujibu swali la msingi.

Tukubaliane kwanza maana ya kushinda mitandaoni
 
Swali lako ni too general.

Unaulizaje kundi la watu eti "mnafanya kazi gani"?

Sasa kwani kazi zetu unatarajia kwamba zinafanana?

Uliza mmoja mmoja!
Tuanze na wewe kazi gani unafanya
 
Back
Top Bottom