Pita hivi [emoji117][emoji117][emoji117]Una akili za kipumbavu
Sawa
MitandaoniMitandandaoni ndo wapi?
Blog zote za ngono.
Nyinyi msioshinda mitandaoni mnapata ugonjwa gani sisi tukikesha na kushinda mitandaoni ?Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Mleta mada hapa hutopata jibu sahihi, utapigwa mawe mpaka ukimbie!!, si umeona mwenyewe kazi hiyo?!!, wewe umeweka ugoko, wenzio wanaweka chuma.
Nyinyi msioshinda mitandaoni mnapata ugonjwa gani sisi tukikesha na kushinda mitandaoni ?
Mimi in mwanasaikolojia lazima nifahamu kwanza then nitaweza kukusadiaSwali linajibiwa na jibu sio swali tena
Piteni hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Free basics oyeeee...Max ana akili sana,sijui tungekua tunamtolea frustrations zetu nani huko mtaani..long live JF!
Vinahusiana kama unatumia kichwa kufikiri ila kama unatumia tumbo hutaweza kuelewa.Havihusiani na Mada yangu
Mitandandaoni ndo wapi?
Swali linajibiwa na jibu sio swali tena
Piteni hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mnafanya kazi gani ?
Tuanze na wewe kazi gani unafanyaSwali lako ni too general.
Unaulizaje kundi la watu eti "mnafanya kazi gani"?
Sasa kwani kazi zetu unatarajia kwamba zinafanana?
Uliza mmoja mmoja!