Tuanze na wewe kazi gani unafanya
Mada haikuhusu dadaHayakuhusu
Inajua wako mitandaoni wanafanya nini ?Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Inanihusu we kuku, nashinda mtandaoni 24/7Mada haikuhusu dada
Pita hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] kajambe huko mbele
Unajuaje wanashinda kama nawe sio miongoni mwao
Inanihusu we kuku, nashinda mtandaoni 24/7
Endelea kuokoka.Nimeokoka hayo mavitu sitaki
Komaa nao, ukienda nao sawa mmoja baada ya mmoja wanakimbia. Wasikutishe wala nini, nenda nao sawa.Naokota hayo mawe najenga msingi
Period
Mimi nikiwa mzima mwenye afya njema, nakama sija sinzia.....Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Siendi popote nitakuwepo hapaPita hivi [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mkuu, naomba kazi...mkuu jiongeze,wengi wetu ni jobless
Natamani hii avatar yako iwe kwa upande wa nyuma ya mleta mada...teh[emoji23][emoji23]Una Umri Gani?
Hayakuhusu
kwa hiyo unaishije?mkuu jiongeze,wengi wetu ni jobless
Free basics oyeeee...Max ana akili sana,sijui tungekua tunamtolea frustrations zetu nani huko mtaani..long live JF!
Hiv mnawezaje tumia free basics namm nahitaj asee