Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwan? Kufanya kazi mpka tubebe mawe ndio ujue tunafanya kazi??ata hii ni kazi!!! Mkono kinywani kwisha habar!!!!
 
Watu wanafanyabiashara halali na haramu wanapga pesa we unasema wanafanyakaz saa ngapi kisa we umeajiliwa na wahindi wanakubana mpaka simu umeambiwa uwe unazma sa ukiona watu wako online unahisi hawafanykazi eeeh
 
Kuna sababu za kisayansi sis. Apple shaped mafuta yote yamerundikana kiunoni na kifuani. Matokeo yake ni matatizo lukuki ya kiafya yakiwemo matatizo ya moyo, BP, dementia, kisukari....na wana uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto vilaza...



Pear shaped hawa ni full misambwanda, tumbo jembamba, mipaja minene milaini na vifua vya wastani. Hawa mafuta karibu yote yapo kwenye misambwanda na mapajani na hivyo hayana madhara makubwa kiafya. Tafiti mbalimbali pia zimeonyesha kuwa wwnawake hawa wana uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye akili sana wakilinganishwa na wenzao waliovimba kuanzia matumboni kwenda juu...


 
Nisaidieni, najiuliza sipati jibu
Kazi yao ndio hiyo. WANALIPWA. Ndio maana wako tayari kumtukana mtu wakijua ni kosa lakini hawajali kwa sababu ndio ajira yao. Wakishtakiwa nadhani unaona mawakili wanavyokuwa wengi kumtetea. Hao wanalipwa na mwajiri wa huyo anayeshinda mtandaoni
Hii ni fursa nyingine ya ajira ila inabidi mwajiriwa ajitoe ufahamu apinge hata kinachoonekana hadharani.
 
Bro upo vizuri [emoji41][emoji41] ningeshangaa usingecomment hii post [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…