utasikia mkuu analonga kiingilishi
sank yo so machi foo winnig the title and kaming here de la mbuga chatoo to see my lioni and twigari.
baadae mkuu wa wilaya ya chato bwana bashite atatoa salamu za pongezi.
naomba niwaambie wale wote wasioitakia mema serikali hii, hivi wanadhani bila ya uwepo wa serikali hii taifa la marekani lingelibeba ubingwa wa wanawake.
Mataifa yote makubwa na yaliyoendelea ktk njanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi,kijamii,kijeshi,sayansi na kiteknolojia,wao walitumia njia za majadiliano na kutakana ushauri ktk kila hatua ya mandeleo ya mataifa yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.