D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wajinga pia ndio mtaji wa wanasiasa wenye kujali zaidi maslahi yao na vizazi vyao vijavyoWAJINGA NDIYO BINGO KWA MA DIVA
wajinga pia ndio mtaji wa wanasiasa wenye kujali zaidi maslahi yao na vizazi vyao vijavyoWAJINGA NDIYO BINGO KWA MA DIVA
wajinga pia ndio mtaji wa wanasiasa wenye kujali zaidi maslahi yao na vizazi vyao vijavyo
nipooooooooo
muda huu nimejipumzikia kwa mganga si unajua kesho wazee wa rangi ya chungwa tunakipiga na watoto wa turampuuuu.
japokuwa wale madada ni wabishi lakini kesho watamjua kungwi wa bashite ni nani hata akachelewa kupata mtoto
uholanzi 2 ndugu zako wa kimarekani 1
View attachment 1148214
Hahahahaha cole bana
bora wafungwe angalau tupumueItakuwa bomba sana ili wapunguze kibri cha kujiona wao ndiyo wao.
bora wafungwe angalau tupumue
kwa misifa yao majitu yale wakibeba tena ubingwa ushindi wao watakwenda kusherehekea kwenye mbuga za chatoo