Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli ila kuna babu mmoja nanunua sana nyama kwake. Nikagundua kidole baada ya gumba ni kama hakipo. Siku moja nikamtolea uvivu na kumuuliza kidole chake kilipatwa na masahibu gani. Ndiyo akaniambia siku moja wakati anakata nyama aliingia mteja akawa anaongea naye basi aliondoa macho sekunde chache kwenye ile mashine basi kidole kikafyekwa. Huwa siangalii kabisa.
OOUCH!!!
Du hatari sana
 
Back
Top Bottom