Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
nimeshajifunza kutokana na makosa niliyoyafanya.
wamarekani hawarogeki
Du hatari sanaNi kweli ila kuna babu mmoja nanunua sana nyama kwake. Nikagundua kidole baada ya gumba ni kama hakipo. Siku moja nikamtolea uvivu na kumuuliza kidole chake kilipatwa na masahibu gani. Ndiyo akaniambia siku moja wakati anakata nyama aliingia mteja akawa anaongea naye basi aliondoa macho sekunde chache kwenye ile mashine basi kidole kikafyekwa. Huwa siangalii kabisa.
OOUCH!!!
YapYes.. Hapo wanakatia miaka na miaka bila kuosha .. Siku hizi mashine tu..Au flat surface
Kuna ukweli wowote hapo
Poti niajeView attachment 1148823
GO Team USA!
Poti niaje
USA wanachukua ndoo kwa mara ya ngapiDakika ya 82 bado USA [emoji631] 2 Netherlands [emoji1179] 0 mabeberu wanaifuatilia kweli hii mechi wake kwa waume.
Kama kawaLikes zinaendelea kutolewa
Amun RaMungu atupe afya na uzima
Ni mabingwa wa Mara ngapi mkuu sina rekodiUSA [emoji631] they REPEAT as World Cup Champions in Women Football.
HahahahaNimekuwekea nawe Mkuu, nikuongezee!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuuNimeamini kila mwanamke ni waifu matirio inategemea tu unatafuta matirio gani
Tehetehekwani kuvaa nguo ya ndani lazima?
USAmganga wangu ameniramba hela yangu bure siku ya jana
View attachment 1148922
Poa poti umeadimika sanaPoa poti, mambo vipi?
Hahahaha kweli chato kuna mbuga mpka Kenyatta kapewa tausiwanastahili pongezi, nawatakia kila la kheri safari yao ya kutembelea mbuga za chato
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]... Kiendacho kwa mganga hakirudi!
Hahahahanimeshajifunza kutokana na makosa niliyoyafanya.
wamarekani hawarogeki
Hila katika women football USA wana dominate sanaWale hawana dogo, kila kitu wao ni nguvu kazi na madedikesheni kibao! Wafe wao au wapate wanachokitaka! [emoji16][emoji16]
Ni mabingwa wa Mara ngapi mkuu sina rekodi