mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tumshukuru mwenye enzi mkuu Mungu kwa kwa kuiona siku hii ya leo
Pamoja mkuuHawana mpinzani kwa sasa ila Netherlands wamewapa wakati mgumu sana kuliko timu yeyote ile na hata France pia. Naamini miaka michache ijayo dominance yao itapungua sana.
Kwa hiyo wamepiga back to back wako vizuri sanaMara ya nne Mkuu, this is a REPEAT. They also won in 2015 in Canada.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole Mkuu kwa kuliwa pesa yako.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe nawe unapenda makalio lakini ya kiume!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
YapJumatatu ingine
Amun RaIwe Jumatatu yenye baraka
Amun RaSalam za heri ziwafikie wadau wote wa uzi huu