mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morning NumbiWengi wetu si wageni sana na neno au msamiati huu ambao uanapatikana ktk lugha ya kingereza! Neno au msamiati huu una maana pana na kubwa sana hasa ktk medani za siasa za dunia na maisha ya kawaida ya kijamii.