Salama bro,huku salama kabsa,tunamshukuru Muumba,,hope huko pia ni wazima wote.
Kijana wangu mpendwa mwenye utukutu wenye faida,kwema ankoo? Ni dhahiri mitihani ilienda vizuri. Tumshukuru Mungu kwa yote,nipo vizuri kabisa.Heshima yako ankoo?
Binadamu tuna nongwa!!! Uwezo wa mwanaume ni kamoja,mwanamke anataka vitatu,kwanini wanaume tusiwe tunaungana kupiga shoo ili kumridhisha mwenzetu kwa muda husika?!!
Heshima kwenu Simba[emoji120][emoji120][emoji120]
Salaam Mzee wa pwani. Kwema ndugu yangu?
Wafanyakazi poleni sana
Poa sana bro, vipi za siku?Niaje bro
Kwema ankoo,nipo salama huku,namshukuru Mungu mambo yameenda vyema kabsa!!Kijana wangu mpendwa mwenye utukutu wenye faida,kwema ankoo? Ni dhahiri mitihani ilienda vizuri. Tumshukuru Mungu kwa yote,nipo vizuri kabisa.
Fresh kaka,habar za kwako?Poa sana bro, vipi za siku?
Hahah mzee mwenzangu,kikaangoni eeh