andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu akutangulie,kila jambo likaje na wepesi wake.
Mungu akutangulie,kila jambo likaje na wepesi wake.
Amin[emoji120][emoji120]Kwema ankoo,nipo salama huku,namshukuru Mungu mambo yameenda vyema kabsa!!
Tuzidi kubarikiwa ankoo[emoji120][emoji120]
Noma sana mzee chumba ya sindano hiyoHahah mzee mwenzangu,kikaangoni eeh
Mungu anasimamia show vyema bro, vipi upo mjini tayari?Fresh kaka,habar za kwako?
Kokao cha kuongelelea mambo ya watu wazima..Nini ujaona
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]enzi zile ovyo sana, watu mnasimama kona na kona kucheki usalama...Kwema mzee wa mwakaleli, habari yako mkuu
Amin 🙏 ......Mungu akutangulie,kila jambo likaje na wepesi wake.
Ndiyo hiyo..Tunamshukuru mwenye enzi kuiona siku hii ya leo
Mungu ni mwema. Habari ya majukumu ankooAmin [emoji120] ......
Heshima yako ndugu
🤛🤛🤛Salaam salaam wakuu
Kabisa..Wakusoma Angezeni bidii..
Pia Mungu anasaidia japo changamoto hazikosekaniMungu ni mwema. Habari ya majukumu ankoo
Hahah nimeona hapo broNoma sana mzee chumba ya sindano hiyo
Ndio bro,nipo mjini tayaliMungu anasimamia show vyema bro, vipi upo mjini tayari?