Yes Sister Dear!
Niko poa, habari yako Fraggy?Yes Sister Dear!
Uko poa?
Jana na leo
Na mimi nimeona Avata, inamaana gani bro?Hahah nimeona hapo bro
Haina noma bro tutasomanaNdio bro,nipo mjini tayali
Ooh! Mambo vipi?
Nashukuru MunguNiko poa, habari yako Fraggy?
Poa poa broHaina noma bro tutasomana
Naam mrembo,mambo vp??habar za siku?
Ni symbol inayowakilisha team ya mpira wa kikapu ya Houston Rocket..pia ni kifupi cha majina yangu yote mawiliNa mimi nimeona Avata, inamaana gani bro?
Fraggy,Nashukuru Mungu
Naona UE imeishaaaFresh kaka,habar za kwako?
Hahah ndio bro,tumeimaliza salama saliminiNaona UE imeishaaa