Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ase kazi kweli kweli,wanajipigia hadi bhasiMechi za kirafiki hizo bro naona wanacheza na vitimu vya mitaani tu maana mtu unapigwa 20 sio poa
Ase kazi kweli kweli,wanajipigia hadi bhasiMechi za kirafiki hizo bro naona wanacheza na vitimu vya mitaani tu maana mtu unapigwa 20 sio poa
Sawa sawa bro,hope mambo yataenda vyemaSikua na vimeo muda ule nilikua nazingua bro labda mambo yaende kombo vitokee round hii
😀😀 mnafunga adi mnachoka sasaAse kazi kweli kweli,wanajipigia hadi bhasi
Unayo Diwani Ya Maalim??
Hawachi mwenyewe huyoo
Mzee mwenzangu,,,naiona rangi ya thao[emoji2][emoji2]
Hahah na walio kwenye benchi wote nao wanaingia na kufunga[emoji3][emoji3] mnafunga adi mnachoka sasa
Hapana mzee bado sijainyaka ila nahisi Mkatalunya Cole Williams atakuanayo tayariUnayo Diwani Ya Maalim??
Poa poa mzee,ngoja nitamcheki kama yupo nayo,aidondoshe hapaHapana mzee bado sijainyaka ila nahisi Mkatalunya Cole Williams atakuanayo tayari
Hahah! Mzee mwenzangu noma(TBT)Mzee mwenzangu,,,naiona rangi ya thao[emoji2][emoji2]
Hapana ndugu sio mimiHawachi mwenyewe huyoo
Nasikia wanaisifu sanaPoa poa mzee,ngoja nitamcheki kama yupo nayo,aidondoshe hapa
Hahah noma asee,hizi rangi unaweza kwendea kuomba Loan Board bila hata vielelezo vingine na ukapewa[emoji2][emoji2]Hahah! Mzee mwenzangu noma(TBT)
Sana ase,wanasema iko poa sanaNasikia wanaisifu sana
Mmefanana sema huyu amekuwa na nywele fupi[emoji2][emoji2]Hapana ndugu sio mimi