Nimeona hiyo picha nimecheka sana maana ni future impossible tense kabisa, hiyo Arsenal imeshakua level za timu kama Newcastle, Watford, Crystal palace na wengineo ambao wakimaliza nafasi ya 10 kwao ni mafanikioHaha sasa huo mpunga atakao pewa huyu bishoo,si inaweza kuwa budget ya miaka kibao pale Arsenal,kama Zaha pekee wamemshindwa kwa pesa waliotajiwa
safi kabisa, za kwenu?