capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aiiiii umeibuka. Nilikumisimo. Sijambo,za kuadimika?Marhabaa mtoto mzuri, hujambo? [emoji16][emoji16]
Tuzuri ila hatumzidi anold wa liverpool
Namshukuru Mungu ilikua poa sana ...Poa.. Mitihani ilienda poa?
Tumemisso michano yako hapa!
Bado siamini kama tutafanya vizuri way tunatamani.Tuzuri ila hatumzidi anold wa liverpool
Msimu ujao hutu tuvijana tuutumie uzuri wao uwanjan mashabiki tupate raha
Aiiiii umeibuka. Nilikumisimo. Sijambo,za kuadimika?
Ntakua nabadilisha ngoja niikariri emoji ya kiss nayo ntakua natupiamo [emoji2]Mimi niko poa kabisa, nilikumisimo pia! Ukinimisimo tena we tupiamo tu hiyo salamu, naibuka mara moja! [emoji16][emoji16]
Ata kwa starehe pia sio mbaya mkuuSio mbaya Kwa wanaitumia kama dawa..😅
Bado siamini kama tutafanya vizuri way tunatamani.
Ntakua nabadilisha ngoja niikariri emoji ya kiss nayo ntakua natupiamo[emoji2]
Ukifikia hatua hii raha sana na karaha sana kama mhusika hakupendi sawia na unavyojisikia
You got option!? Good for YouHope madrid hawataniangusha kama man u wakianza leta zengwe
Bado najifunza potiiii hahaha
Have three options,man u,r madrid and cr7 hope sitaangushwa msimu ujaoYou got option!? Good for You
Ha hahUkifikia hatua hii raha sana na karaha sana kama mhusika hakupendi sawia na unavyojisikia
Haya mapenzi ni shida
Sikujua Cr7 ni timu pia!? Ama ndo Juventus?Have three options,man u,r madrid and cr7 hope sitaangushwa msimu ujao