Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwangu ni jeshi la mtu mmoja popote alipo. Juve hata siipendiSikujua Cr7 ni timu pia!? Ama ndo Juventus?
Kwangu ni jeshi la mtu mmoja popote alipo. Juve hata siipendiSikujua Cr7 ni timu pia!? Ama ndo Juventus?
Hahahaha coco bana ushaanza ushenga jamaniiiiiHa hah
Kwa mara ya kwanza naona viashiria,..
Alafu wewe na poti mnapendeza saaana yani😬😬
$$£&(yaani poti huyu huyu ninae mjua mimi?!! Ina maana ankoo wangu binti mpole 'kanigwa' ngwala kihisia na mpori mpori?!!... Iti kanti bi) $$$View attachment 1152850
Bado najifunza potiiii hahaha
SwadaktaaaEndelea kujifunza mwaego! [emoji16][emoji16]
Nipo shemeji....Shemeji SHIMBA YA BUYENZE whereva yua nakutafuta
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yaani wewe kila sehemu lazima unitilie kauzibe. Pale kwenye tuition Mtendeni ukanizibia kwa Semeni, hapa tena unataka kuleta zako. Safari hii lazima nikushushe mnyama tu! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema ndugu yangu? Nina haja na weweNipo shemeji....
Nipo hapa JF (japo si sana)...
Kila kitu kiko salama huko?
Nipo !!!