Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mkuu ina maana kwenye kile chama chetu unataka kuniacha mwenyewe tu sasa? [emoji15]
Hii ni nusu fainali bro
Nzuri kamanda. Kwako huko kukoje?
Hapo kuna mafundi wangu ninao waaminia tu ndio mana unaona napiga kelele sana, ila mpaka sasa hakuna walichoonyesha cha maanaNiacheki hii game kwa mara ya kwanza Tangia mashindano yaanze sababu umesifia Ngoja nione
Zawadi kwa kazi nzuri aliyokuwa ametumwa kuifanya
Anarudi tena??Niliona documentary yake anadai alijua amepoteza ila sasa karudi yupo vizuri nafikiri tutamuona league kubwa msimu ukianza
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Chama kipo kwenye damu yetu, ni lifetime
Kidumu
Namkumbuka sana Bro, UNITED tulikuwa vizuri sana! Acha hawa vijana watuaribie histry tu