Mweee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sijui kuhusu maisha ya shangazi! Ila najua hana mume! Kuhusu watoto ama aliwahi olewa sijui.Naomba kuuliza
Shangaz ana watoto?mume je?
Msimu huu najua tutalalamika sana pia! Na sioni kama Ole ana maisha marefu UNITEDUnited ina vielement flan hivi vya uzawa,tunaweza sema imekuwa timu ya Waingeleza
Angalia Waingeleza wanavyolipwa mishahara ya juu pale OT,tena wakiwa na viwango vya kawaida tu
Club Tajiri wanawekeza kwa wanaume wa shoka kweli kweli lakini United inasajiri wanaume watoto,angalia yule beki wa Swansea aliyesajiriwa msimu huu..
Tunaenda na Kisu kwenye Mpambano wa Bunduki!!
Salama bro?mitikasi vipi pande hzoNaona pep Anafanya mabalaa tu ya usajili Manchester city ni tishio sana
Hayo maneno ya kwenye hyo Kanga[emoji119][emoji119]
Oh!Sikujua!?Kwa sasa yupo pinathaikos yupo vizuri msimu uliyopita Katupia goli nyingi kwenye timu yake
Muongo hana likizo,..Hayo maneno ya kwenye hyo Kanga[emoji119][emoji119]
![]()
ALIYEKATALIWA NA BABA YAKE AIBUKA TO KIDATO CHA SITA
KWA mujibu wa gazeti LA nipashe mtoto aliyekataliwa na baba yake aibuka TOC au Tanzania one pepa matokeo kidato cha sitawww.jamiiforums.com
![]()
ALIYEKATALIWA NA BABA YAKE AIBUKA TO KIDATO CHA SITA
KWA mujibu wa gazeti LA nipashe mtoto aliyekataliwa na baba yake aibuka TOC au Tanzania one pepa matokeo kidato cha sitawww.jamiiforums.com
Kichomi ni Ed Woodward!!hili ni jipuMsimu huu najua tutalalamika sana pia! Na sioni kama Ole ana maisha marefu UNITED
Hili ni dongo live kwa ProfMuongo hana likizo,..
Sijuii alikusudia ujumbe gani kwetu hapa.