Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

65654814_2282424675330567_5638171056245453660_n.jpg
 
Usicheke Binti Mpole sijui kwanini sometimes
A woman can be so heartless, Siwezi kulalamika lakini nitafanyaje sasa na sina vionjo kama wakina flani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Mweee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kweli!! Club tajiri Duniani zinasajiri 1st clss players sisi sijui tunafanyaje?!
United ina vielement flan hivi vya uzawa,tunaweza sema imekuwa timu ya Waingeleza

Angalia Waingeleza wanavyolipwa mishahara ya juu pale OT,tena wakiwa na viwango vya kawaida tu

Club Tajiri wanawekeza kwa wanaume wa shoka kweli kweli lakini United inasajiri wanaume watoto,angalia yule beki wa Swansea aliyesajiriwa msimu huu..

Tunaenda na Kisu kwenye Mpambano wa Bunduki!!
 
Back
Top Bottom