Ha hahHili ni dongo live kwa Prof
Kumbe hajaolewa.Sijui kuhusu maisha ya shangazi! Ila najua hana mume! Kuhusu watoto ama aliwahi olewa sijui.
Ha ha haHa hah
Ahsante sana,.. wengine kiswahili tulikuaga hatumuelewi mwalimu.
Kumbe hajaolewa.
Noted!
Namshukuru Mungu tunaendelea vizuri kabisa. Unaendeleaje na majukumu yako?Habari gani Ndugu yangu vipi familia na vijana hapo nyumbani
Salama bro?mitikasi vipi pande hzo
Namshukuru Mungu tunaendelea vizuri kabisa. Unaendeleaje na majukumu yako?
Tupo ndugu yangu.
[emoji2][emoji2][emoji2] jirani umeibukia wapi aseNgoja tukae mkao wa kula ubwabwa hapa! [emoji16][emoji16]
Huku kwema pia Bro,uzima upo.Huku kwema, Bro vipi upande huo
Hijab mzima