Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool pia wamejiunga kwenye mbio za kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov mwenye thamani ya pauni milioni 20. Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea na Manchester United pia wanamnyemelea mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Mirror)
 
Arudi tu L’pool mie si mpenzi wa Liverpool lakini sikutaka aondoke.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…