Salama mkuu,habari masiku?familia haijambo huko?Mkuu mambo vipi
Poti ulikuwa na mshua bomba sana [emoji16][emoji16]YES! Kama ulikuwepo vile! [emoji16][emoji16] Dingi Mshua!
Wako poa kabisa mkuuSafi kabisa kiongozi, habari ya huko na vijana wangu?
Aliniunganishia ya wanafunzi wa Tambaza kusambazwa shule za Kantalamba na zingine korofi nilichoka.Huyu ni andaeitini mkubwa mwenzangu, twajuana ati...Hahahaah poti anajisahau sana
Sawa bro,naona mnaongoza sasa,ila tumeanza kuonesha uhai atleast,kipindi cha pili tunaweza kuja na matokeo mengine,muda bado BroHicho sio kigezo bro, hakuna mchezaji namuelewa kuliko Messi lakini world cup 2014 ile final nilikua team Germany. Hawa Algeria toka waipige Tz 7 nilitokea kuwaelewa sana
Poti ulikuwa na mshua bomba sana [emoji16][emoji16]
Hahaha nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewe ankoo,udomo zege wote kwisha [emoji23][emoji23]Dahhh!! Sijui kwanini nakuombea kila siku uwe na mitihani ya chuo!! Kila nilipo nawe upo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haufai kabisa. Unanifanya nikumbuke mabadiliko ya Dar tech kwenda DIT tukizurura tu kwenye makorido ya mabomba ya chuma utadhani tupo hospitaliYES! Kama ulikuwepo vile! [emoji16][emoji16] Dingi Mshua!
Hata sijui mnaongelea nini lakini kiherehere dah [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]Sema kuyanyonya huwa yanakimbiaga.Halafu mazito kuyakusanya pamoja (nimeingilia tu maelezo sijui ndo yenyewe!!) muda wa kuyanyonya...
Aliniunganishia ya wanafunzi wa Tambaza kusambazwa shule za Kantalamba na zingine korofi nilichoka.Huyu ni andaeitini mkubwa mwenzangu, twajuana ati...
Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120]Wako poa kabisa mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haufai kabisa. Unanifanya nikumbuke mabadiliko ya Dar tech kwenda DIT tukizurura tu kwenye makorido ya mabomba ya chuma utadhani tupo hospitali
Shuwaini zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewe ankoo,udomo zege wote kwisha [emoji23][emoji23]