Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenu nyie familia za kishua labda. Kijijini huko enzi zetu ilikuwa ujamaa mtoto ni wako kwa jina tu. Kaka zangu wote walizaa wakiwa wadogo sana wakaacha watoto kijijini wakaenda huko kusoma/kufanya kazi na baadaye wamekuja kuwachukua tayari watoto wakubwa wako sekondari na hakujawa na tatizo lolote. Mimi pekee ndo nilizubaa sijui kwa nini kha !!!

Ila kwa sasa nakubali mambo yamebadilika sana....
Duh aisee ila bana hata mie wa kijijini huko gamboshi ndani ndani kabisa
 
Nilipo enzi hizo tulikua tunawakuta kwenye vichuguu au mawe wamejificha
Wa kwenye vichuguu wengine na hawaliwi. Hawa na senene wana msimu wao. Wanakuja wengi jioni wanaruka wakati wa manyunyu halafu usiku huo wanajikata mabawa yao na kujificha chini ya mawe, majani au kujichimbia chini. Wakijichimbia chini wanaacha alama juu. Kesho yake asubuhi mnajidamka mnaanza kuwafukua huko chini mnawabinya vichwa na kuwatia kwenye vikapu au chombo cho chote. Wakikaangwa na kukaushwa vizuri wanakuwa crunchy basi ni mwendo wa kulala pole pole tu kama walivyo senene.
 
Taarifa za kazi au zinazohusiana na kazi yako

Watu wengi hupenda kujionyesha wakiwa ofisini, pia wengi hupenda kuchapisha maswala mbalimbali yahusuyo kazi zao. Huwezi kujua nani anaona taarifa hizo na atazitumiaje.
 
Mara siku moja yule mtu akamwonyesha mwajiri mambo aliyokuwa akiyafanya yule dada na kuyaweka kwenye mtandao wa Facebook. Kilichotokea yule dada alipoteza kazi yake. Hivyo basi tenganisha kazi yako na mitandao ya kijamii.
 
Hahaha ndio maana niliwaweka maskudi! najua kama hujawala toka uko mdogo wengi wanashindwa!
Ila pweza mnajilazimisha mpaka mnawapenda eeeh?[emoji3]
Makorokocho mengi ya pwani (wakiwemo pweza) yalishanishinda aisee. Hata ikitokea nikawahitaji kwa ile shughuli kuna njia nyingine za kiasili, bora na za haraka zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nakumbuka siku moja nilikuwa naomba kazi fulani kutoka kwa wazungu; nakumbuka walitaka pia akaunti zangu zote za mitandao ya kijamii palepale. Fikiri ningekuwa naweka picha za ngono au za ajabu ajabu; ingekuwa aibu wala kazi nisingepata.
 
Back
Top Bottom