Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakumbuka siku moja nilikuwa naomba kazi fulani kutoka kwa wazungu; nakumbuka walitaka pia akaunti zangu zote za mitandao ya kijamii palepale. Fikiri ningekuwa naweka picha za ngono au za ajabu ajabu; ingekuwa aibu wala kazi nisingepata.
Waajiri wengi sasa wanataka online profiles za waomba kazi. Wanasema kwamba mtandaoni watu hujiachia sana na kuweka uhalisia wao hasa. Sasa ndo mtu ukutwe huko ni kuporomosha matusi tu na kubinua kalio dah...

Vijana wengi hawajalijua hili na litawacost sana huko mbele ya safari.
 
Kama mie hope JF wananilinda
 
Waajiri wengi sasa wanataka akaunti za FB, IG na Twitter. Huko hata kama unatumia jina bandia as long as umetumia namba ya simu ile ile kujiunga nadhani wanaweza wakagundua tu kama una akaunti za siri hasa kama kazi unayoomba ni nyeti.
Ahaa kumbe huko sina wasiwasi maana pote sina account
 
Back
Top Bottom