Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ina maana hii jamii ya amber imeletwa duniani kwa dhumuni la kufurahisha wazee wa nirushie pm.

amber rutty
amber lulu
amber rose
amber kim kardashian
amber sepetu
amber kugawa
amber bure ghali
View attachment 1155220


baadhi ya nyakati ni bora unyimwe akili za juu ya kiwiliwili kuliko kunyimwa akili za katikati ya kiwiliwili
Haya majina ya akina Amber haya si ya kuwapa watoto aisee [emoji16][emoji16]
 
Ai

Huko nilikua sielewi maana ya kuwahi nashtukia mbioooo,hio siku mpaka aliyewahi akazira na kufuta post yake,cha ubishi akashinda maana post yake ilikua inafuatia ile iliyopata ubingwa
Kumbe unakumbuka. Ilikuwa bifu kali na nadhani kuanzia hapo ndo akaanza kupunguza na hatimaye kuachana kabisa na uzi huu; akajikita katika siasa zaidi...
 
Wakiomba hii ya JF utawapa? Utaweza kweli kuwaaminisha kuwa huna online profile enzi hizi....

IG huna akaunti wewe? Ubuyu wa huko huwa unaulaje bila akaunti?
JF nilijiunga 2009 au 10 hivi ila sikuweza kuitumia maana niliona ina mizinguo,fb nilikua nayo nikaifuta,ig nayo nilisahau passwrd ukinyoosha maelezo wataelewa na ubuyu ntawaelekeza mbinu za kuupata bila account IG

Ni rahisi kujua yanayoendelea IG kupitia google bila account kuliko kufahamu yanayoendelea FB ambapo account lazima
 
Mara paap. Wapiga kura wanagoma [emoji16][emoji16]

IMG-20190716-WA0039.jpeg
 
Back
Top Bottom