Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1563254502297.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Documentary ile inatoka ulikuwa bado dogo? Dogo kiasi gani? Jizazi...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nawakumbuka hao samaki vizuri kwa sababu kuna jamaa alioa kwetu na mimi ndiyo nilikuwa appointed kuwa nakula naye. Kimila mwanzoni mwanzoni pale mkwilima anaandaliwa chakula cha peke yake na anakula na mwenyeji mmoja au wawili hivi. Ni mwendo wa kuku tu, samaki na mapochopocho mengine kibao. Kwenye bahati hii niliwafaudu sana hawa samaki....
 
Utatu wa watu nguli, kamili gado, watunga sera za ushindi wa CCM, hata ukiwa ngangari kama chuma cha mjerumani ukitaka mafanikio ndani ya CCM lazima ulambe miguu yao au mmoja wao.
Huko nyuma walivumishwa eti mafisadi papa kumbe haikuwa kweli.
Ukweli kwamba hawa ni wacheza draft za ushindi wa CCM. Uhai wao ndiyo uhai wa CCM pia
Utatu tata wenye kutatiza !!!
View attachment 1155132
 
Back
Top Bottom