Huyo mgeni wa mwenyeji mloweaji nimezaliwa nikamkuta.
Eneo nililopo wenye bei sana ni hawa wa kupimwa na rula hasa sato. Ila hao mabambala bei poa kabisa
Kula ugali mlima kwa hao samaki upo vizuri mno.
Huyo Mzee Fala sana.. broMzee huyu anazingua sana
Nilishangaa maana kitu kidogo sana kukasirikaKumbe unakumbuka. Ilikuwa bifu kali na nadhani kuanzia hapo ndo akaanza kupunguza na hatimaye kuachana kabisa na uzi huu; akajikita katika siasa zaidi...
Kawaweka bro wale samaki waliookwaMabambala ndiyo ambao pande nyingine huitwa Perege au hao ni wengine?
Full kuchomwa tuYummy
[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji16]Bro bhana,nilikuwa dogo ndio,tuachie hapo mengine ntatoa siri za kambi..
Ila nakumbuka serikalini alikuwa mzee Mkapa wakati documentary hii inatoka
Aisee ulifaidi sana Bro[emoji16][emoji16] maana kipindi hicho samaki wa ziwa Victoria walikuwa wakubwa kweli kweli,nakumbuka samaki mkubwa kuwahi kumshuhudia nilimuona akiwa kabebwa kwenye baskeli jamaa hakuweza kuendesha baiskeili alikuwa anaikokota mdogo mdogo dhahiri ikionesha kuwa samaki yule alikuwa amemdhidi uzito....samaki za namna ile miaka ya hv karbun imebaki historia..
Ngosha the don orijino. Baba akiongea vimbegu vyake kimya hakuna kubanja wala kupiga mihayoHuyu jamaa bhana View attachment 1155277
Nilishangaa maana kitu kidogo sana kukasirika
Tutavionea tu viwanda vya samaki. Kuna uchafuzi mkubwa sana wa mazingira hali inayochangia kwa kiasi kikubwa upotevu wa samaki boraUharibifu wa mazingira na Viwanda vya samaki vimeharibu na kuteketeza samaki ziwani