Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kweli malalamiko kibao kama mtoto wa kambo hayatakiwi..... Nasikia huko Nou camp jamaa mgeni haongelewi kabisa mazoezini
Bado bado Ngoja mambo yakianza tumuone, Yaliyomo yamo au ndiyo midabwada Tu