Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2. Chagua tabia mbaya moja ulionayo kwenye maisha yako mwenyewe na uamue toka ndani ya roho yako na jitahidi ubadilike kila siku. Jitahidi kwa kuanza kupunguza kila siku. Hii inaitwa ukuaji. Fanya kwa ajili yako mwenyewe sio kwa ajili ya mtu. Tafuta ukweli, jaribu kufanya yaliyo sahihi kila siku. Ukuaji ni kujipenda mwenyewe. Kujipenda ni kujiheshimu na ni nidhamu pia.
 
3. Tambua kuwa kuna watu wabaya duniani. Huu ni ukweli wa kinjili kabisa na huwezi kubadilisha chochote kuhusu hilo. Utunze moyo wako na uhuru wako kwa umakini sana. Kagua kila binadamu vizuri kabla hujamruhusu kuingia kwenye maisha yako lakini kuwa tayari kuwatoa watu kwenye maisha yako kama hawako kukupenda na kukuheshimu.
 
20190714_170154.jpg
 
Back
Top Bottom