Hahahaha king asione hapaAaaa wapi. Nyote maandaeitini nyie mtakuwa mnapishana mwaka mmoja au mitatu mitatu tu. Eti King awe mjukuu wako. Thubutuuu. Kosea ujichanganye utajikuta unamzindua sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni kama mimi. When it comes to food I am down for whatever lakini prawns/shrimp walishanishinda kabisa sijui kwa nini. Ni wadudu! [emoji16][emoji16]Hamna wana maeneo yao wanapopatikana hao...
Ni wadudu!
Duh aisee ila bana hata mie wa kijijini huko gamboshi ndani ndani kabisaKwenu nyie familia za kishua labda. Kijijini huko enzi zetu ilikuwa ujamaa mtoto ni wako kwa jina tu. Kaka zangu wote walizaa wakiwa wadogo sana wakaacha watoto kijijini wakaenda huko kusoma/kufanya kazi na baadaye wamekuja kuwachukua tayari watoto wakubwa wako sekondari na hakujawa na tatizo lolote. Mimi pekee ndo nilizubaa sijui kwa nini kha !!!
Ila kwa sasa nakubali mambo yamebadilika sana....
Prawns ndo nini waungwana(najua google ipo)Ni kama mimi. When it comes to food I am down for whatever lakini prawns/shrimp walishanishinda kabisa sijui kwa nini. Ni wadudu! [emoji16][emoji16]
Hahaha ndio maana niliwaweka maskudi! najua kama hujawala toka uko mdogo wengi wanashindwa!Ni kama mimi. When it comes to food I am down for whatever lakini prawns/shrimp walishanishinda kabisa sijui kwa nini. Ni wadudu! [emoji16][emoji16]
Wa kwenye vichuguu wengine na hawaliwi. Hawa na senene wana msimu wao. Wanakuja wengi jioni wanaruka wakati wa manyunyu halafu usiku huo wanajikata mabawa yao na kujificha chini ya mawe, majani au kujichimbia chini. Wakijichimbia chini wanaacha alama juu. Kesho yake asubuhi mnajidamka mnaanza kuwafukua huko chini mnawabinya vichwa na kuwatia kwenye vikapu au chombo cho chote. Wakikaangwa na kukaushwa vizuri wanakuwa crunchy basi ni mwendo wa kulala pole pole tu kama walivyo senene.Nilipo enzi hizo tulikua tunawakuta kwenye vichuguu au mawe wamejificha
Makorokocho mengi ya pwani (wakiwemo pweza) yalishanishinda aisee. Hata ikitokea nikawahitaji kwa ile shughuli kuna njia nyingine za kiasili, bora na za haraka zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha ndio maana niliwaweka maskudi! najua kama hujawala toka uko mdogo wengi wanashindwa!
Ila pweza mnajilazimisha mpaka mnawapenda eeeh?[emoji3]
Hii nzuri kwa sie wambea kupata ubuyuMaisha binafsi au ya faragha
Kuna ulimbukeni umeibuka siku hizi, hasa kwa wakina dada wa kuweka picha na video mbalimbali wakiwa faragha.
Sio mie bali copy and pasteNakumbuka siku moja nilikuwa naomba kazi fulani kutoka kwa wazungu; nakumbuka walitaka pia akaunti zangu zote za mitandao ya kijamii palepale. Fikiri ningekuwa naweka picha za ngono au za ajabu ajabu; ingekuwa aibu wala kazi nisingepata.