Hio ni jezi officially ya argentina? Timu ya wakubwa?Kwani ingekaa hii ingeharibu nini hapo jamani?View attachment 1155341
100K
Kupata
Mi sikumbuluki hiyo, ingawa namuhisi huyo mtu, nadhani mwana mama furani tuliyekuwa naye hapa.
Siku hazigandi
Enzi hizo ilikuwa raha sana
Nakumbuka enzi hizo walipatikana sana maeneo ya Chuo cha bandari(Tmk),Tandika maghorofani,Karakana(Tzr) na Yombo mashambani, tulikuwa tunang'ang'aniana na nyoka, mijusi, vyura... Utoto raha sana
[emoji3][emoji3]
Huu mpango wa kujenga nyumba kwa majeshi yote utaendelea, kwa sababu majeshi haya yanasimama imara kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya chama chetu cha mapinduzi"
Rais Magufuli.
Kweli bro siku hizi vituko tuKama comedy
nawatakia kila la kheri wale wote watakaokwenda kupiga kura mwaka 2020 upande wa upinzani.Duuu,
Hahah! Sijui kwanini tu?Hahaha, ukiwa kocha unazeeka haraka bro
Kila mfungwa aliyeongea amesema amehukumiwa miaka 30 jela......huko Mwanza uhalifu wao siyo wa kitoto
Kuna yule kiwete aliyehukumiwa kwa ubakaji.....Rais akamuuliza sasa wewe hii miguu miwili haifanyi kazi ila huo wa tatu ndio unaleta mabalaa?!!!