Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
#KuchapiwaHakuepukikiYaani huyu Baba ana pepo!!
Haya mambo ni magumu. Sijui hawa wanakuwaga na wivu wa aina gani mpaka kufikia kufanya haya maduduBinti alimpenda jamaa mpaka akabafili dini kumfata mume daah
Hahah! Naweza kusahauahahahhaha na hapa hutasahau uwiii hahaha
Inasikitisha sanaMdada mzuri jaman
Usiogope ipo vyema sema imewekwa udambwi udambwi mwingi tuMmmh ilivyokaa hata bure sili
Kwa kweli.. kulazimisha hivi vitu ni kujiumiza tuuu!Kabisa,angempa tu talaka
Eti timu kuchomwa chomwa [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe nawe
#teamkuchomwachomwa
#teamscreenshot
Ndo maana wahenga walisema hasira hasara. Jamaa aliendeshwa na hasira zaidi badala ya busara.Haya mambo ni magumu. Sijui hawa wanakuwaga na wivu wa aina gani mpaka kufikia kufanya haya madudu
Utasahau msosi ila sio huu uhondo hahahaHahah! Naweza kusahau
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Sijui nidandie treni lwa mbele liwalo na liwe?Davet Davet...unataka kuona tumbo langu??
KabisaKwa kweli.. kulazimisha hivi vitu ni kujiumiza tuuu!
Mzee wa kubambikiwa laivu...Kangiiii wa Lugola huyoooo