Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ninacho Bro,,inasikitisha sana!Una kipara bro?
Kama unacho usikatize mitaa ya Msumbiji na Mbeya...Utawatajirisha watu ...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Afrika yetu hii bado sana !!!
21 na kipara wapi na wapi?Ninacho Bro,,inasikitisha sana!
Inasaidia mbinuko [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cha ukoo hiki bro,ni kama siku hizi vijana wengi unakuta wako na mvii21 na kipara wapi na wapi?
Kwema huko chimboni lakini?
[emoji16][emoji16][emoji16] kutuonesha msambwanda..hii kwa vimbaumbau ina apply kweli?Inasaidia mbinuko [emoji16][emoji16]
Sawasawa..4:Tiba ya kichwa: Dalili ya mtu kupungukiwa maji mwilini ni pamoja na kuumwa kichwa. Kunywa maji ya kutosha na hutasumbuliwa sana na kuumwa kichwa mara kwa mara.
👍 👍 👍Saratarani: Utajiepusha na saratani ya tumbo kwa kunywa maji, kwani maji husaidia suala la usagaji wa chakula tumboni na hivyo wakati wote tumbo lako litakuwa safi. Utajiondoa katika hatari ya kupata saratani ya tumbo kwa asilimia 45 na asilimia 50 kwa saratani ya kibofu cha mkojo.