Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Inasikitisha sana, Mungu atuepusheDah,,mfumo wa maisha tunayoishi kila siku ndio chanzo cha mambo haya
Inasikitisha sana, Mungu atuepusheDah,,mfumo wa maisha tunayoishi kila siku ndio chanzo cha mambo haya
Mzee mwenzangu umekua fundi sana siku hizi/ umeamuo kuonyesha ufundi uliokuanao[emoji16][emoji16][emoji16] kutuonesha msambwanda..hii kwa vimbaumbau ina apply kweli?
Fresh sana, vipi hapo mtaani kwako?Amin Bro,
Salama huko?
Hahah aah wapi,hizo comment zimeziokata sehemu [emoji16][emoji16]Mzee mwenzangu umekua fundi sana siku hizi/ umeamuo kuonyesha ufundi uliokuanao
Ingekua sio kuokota comment ungesema acc ilipata hacker...Hahah aah wapi,hizo comment zimeziokata sehemu [emoji16][emoji16]
Bado najifunza toka kwako bro
[emoji16][emoji16][emoji16]aiseeIngekua sio kuokota comment ungesema acc ilipata hacker...
Huna chakujifunza hapa bro labda unaigiza kujifunza madini ambayo unayajua vyema
Huku salama bro,tunamshukuru Muumba!!Fresh sana, vipi hapo mtaani kwako?
Haina noma mzee, nipo hapa nasoma ramaniHuku salama bro,tunamshukuru Muumba!!
😂😂 leo unaambulia makavu live[emoji16][emoji16][emoji16]aisee
sina ujanja leo[emoji23][emoji23][emoji23],nmeingia mzima mzima mwenyewe[emoji23][emoji23] leo unaambulia makavu live