Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

435819792_360543.jpeg
 
Vipapatio na vidali vya vyuku lazima kuvihangaikia [emoji16][emoji16]
Kabisa kamanda, huko nyuma sikujua kama kuna likes za malengo hapa, sasa nimeshajua kuna baadhi hapa inabidi tuwamininie likes ikibidi 4 au zaidi kupitia fyekeleo, maana bila hivyo vipapatio havitalika[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Bila kupambana vipapatio na vidali utakuwa unavisikia kwenye tivii tu na kubaki kulalama eti "wakubwa wanafaudu"
 
Back
Top Bottom