Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
AmeenAsante Fraggy.
Mungu Akatubariki sote na kutuongezea ridhiki [emoji1545][emoji1545]
AmeenAsante Fraggy.
Mungu Akatubariki sote na kutuongezea ridhiki [emoji1545][emoji1545]
Umekesha leo Moudy...04:11.
Asubuhi njema wana
Wow..what a moment!
Fitness Alert!!!
😀 Uzito unapungua hahaha tutakunywa madumu!FAIDA ZA KUNYWA MAJI MWILINI
1: Kupunguza uzito: Kunywa maji mengi kunasaidia kupunguza uzito, kwani maji hayana mafuta, kalori wala sukari.
Ray the Greatest ni mfano hai hapa ...[emoji16]5:Ngozi nyororo: Unywaji maji ya kutosha kila siku unaweza safisha ngozi yako na kuifanya ionekane nyororo.
Jenny from the block
Hata wewe ngozi yako ni mfano hai😉Ray the Greatest ni mfano hai hapa ...[emoji16]
Aaa wapi. Wengine tumekomaa sababu ya matatizo na uhenga....Hata wewe ngozi yako ni mfano hai😉