moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona kafika kileleni [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawasawa..Ukwasi wa Zanzibar, ikilinganishwa na Tanganyika, ulikuwa wa kiwango cha juu wakati wa Karume kutokana na bei nzuri ya karafuu katika soko la dunia, ambapo ilipanda kutoka dola za Kimarekani 550 hadi dola 1,500 kwa tani, kiasi kwamba kufikia mwaka 1971, Zanzibar ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni ya pauni za Uingereza (£) 14,000,000, ikilinganishwa na 6,500,000 za Tanzania Bara.
Asubuhi ya likesUsiku wa likes