Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1155397
 
Huu ulikuwa mzozo hasa....

Wa kusoma naye aliumia balaa mpaka akaapa kutokuja humu tena tukaanza kubembeleza. Na kuanzia hapo ushiriki wake ukaanza kusuasua. Huyo mwenzake ndo kabisaa methali zilianza kukauka jumla....

Sasa ukiwauliza kama mzozo huu ulikuwa na faida yo yote sidhani kama kuna hata anayekumbuka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom