Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha anapata stress nyingi kutokana na matumizi makubwa ya hela za mwajiri anazotumia kusajili na kulipa mishahara.
Ikitokea umelipa hela nyingi kusajili maboya na usipate ufanisi uwanjani hilo linaleta maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wamiliki wa timu.
Kwa mfano msimu uliopita kocha Mourinho alipata wakati mgumu toka maeneo hayo mawili hasa kutokana na usajili aliofanya ambao uliigharimu Man U mamilioni ya pound na haukuleta matokeo chanya
Hahah! Itakua hivyo pia nimependa mfano ulivyotolea United maana na huyu wa sasa hivi Ole Sendeka namuona uzee unamfikia sasa hivi
 
1155395
 
Back
Top Bottom