Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

131e50d15c437d1f6bcaea3573ff1f66.jpeg
 
Tumia gundi ya nguo kupaka kwenye kingo ya sehemu zilizo chanika, anza na ndani paka acha gundi ikauke kisha hamia nje lakini ni vizuri pia ukaweka kibao katikati ili kuzuia suruali hio kugandana. Pia chagua gundi nzuri nyingine zinaweza kukuharibia nguo.
Supa gluu inaweza kufaa zaidi. Yaani ile ukibandika umebandika...
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]msambwanda wa hivi hapana
[emoji41][emoji41]
Nilikuwa nimetegeshea nione wangapi watajitokeza kupinga. Maandaeitini wangu sijui watasemaje [emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu mama ndiye anashikilia rekodi ya Guiness ya hips kubwa orijino. Ana watoto wanne na baada ya kupata hiyo rekodi alianza kupata order nyingi majamaa yakitaka akatwerk akavuka mpaka akaanza kuhudumia wale wenye fantasy za suffocation...na kugegedwa. Mume alipogundua akaamua kutoa talaka...
20170908_003254.jpeg
 
Back
Top Bottom