Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Supa gluu inaweza kufaa zaidi. Yaani ile ukibandika umebandika...
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]msambwanda wa hivi hapana
[emoji41][emoji41]
Nilikuwa nimetegeshea nione wangapi watajitokeza kupinga. Maandaeitini wangu sijui watasemaje [emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu mama ndiye anashikilia rekodi ya Guiness ya hips kubwa orijino. Ana watoto wanne na baada ya kupata hiyo rekodi alianza kupata order nyingi majamaa yakitaka akatwerk akavuka mpaka akaanza kuhudumia wale wenye fantasy za suffocation...na kugegedwa. Mume alipogundua akaamua kutoa talaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…