Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ni losheni bro?
Mambo ya massage hayo....
Mtu hoi kupumua kwa shida kama samaki aliyetolewa majini....dah !!!
Hiyo ni losheni bro?
Kuna wengine wanatamani wengekuwa haka katoto
Ndio bro,losheni hiyo na ni product yakeHiyo ni losheni bro?
Mambo ya massage hayo....
Mtu hoi kupumua kwa shida kama samaki aliyetolewa majini....dah !!!
Nikifika heaven na nikawa face to face na Creator nitamuuliza swali lenye chembe chembe za uKiranga..."Kwa nini uliwaumba wanawake kwa ufundi na mvuto wa ajabu vile halafu tena ukatuwekea angalizo tusiwafaudu? Ulikuwa ni mtego ama?"Kuna wengine wanatamani wengekuwa haka katotoView attachment 1156798
Kuna mtu mmoja hivi niliwahi kuwa naye mpaka alinilazimisha nikasoma kozi fupi ya miezi mitatu nikapata Certificate ya Message Therapist...Erotic Message...Ndio bro,losheni hiyo na ni product yake
Hahaha aisee umenichekesha sana bro,Nikifika heaven na nikawa face to face na Creator nitamuuliza swali lenye chembe chembe za uKiranga..."Kwa nini uliwaumba wanawake kwa ufundi na mvuto wa ajabu vile halafu tena ukatuwekea angalizo tusiwafaudu? Ulikuwa ni mtego ama?"
HahahahKuna mtu mmoja hivi niliwahi kuwa naye mpaka alinilazimisha nikasoma kozi fupi ya miezi mitatu nikapata Certificate ya Message Therapist...Erotic Message...
#NgojaTuachieHapa
#WawezaMfikishaKileleniKwaMessagetu
Kama kawaida yake yule bro ni genius, aliwaambia wakitaka ajiunge huko watoe kipengele cha likes na comments hatimae wameanza kufanyia kazi hilo swalaHapana bro,nijurishe aisee..nasikia hata Jay Z pia hana
Watu wanaoendesha maisha yao kutegemea IG tayari wanalalamika kuwa vipato vyao vitaporomoka sana. Tayari kuna petition inaendelea na wanasema bila kuonyesha idadi ya likes IG itakosa ladha na wengi watahama...Kama kawaida yake yule bro ni genius, aliwaambia wakitaka ajiunge huko watoe kipengele cha likes na comments hatimae wameanza kufanyia kazi hilo swala
Nikifika heaven na nikawa face to face na Creator nitamuuliza swali lenye chembe chembe za uKiranga..."Kwa nini uliwaumba wanawake kwa ufundi na mvuto wa ajabu vile halafu tena ukatuwekea angalizo tusiwafaudu? Ulikuwa ni mtego ama?"
Kwa hyo IG kwa sasa haina likes wala comment bro?Kama kawaida yake yule bro ni genius, aliwaambia wakitaka ajiunge huko watoe kipengele cha likes na comments hatimae wameanza kufanyia kazi hilo swala
Kivipi kutokuonesha likes kunaweza kuwakwamisha wanaoendesha maisha yao huko IG bro?Watu wanaoendesha maisha yao kutegemea IG tayari wanalalamika kuwa vipato vyao vitaporomoka sana. Tayari kuna petition inaendelea na wanasema bila kuonyesha idadi ya likes IG itakosa ladha na wengi watahama...
Mzaramo angekuwepo hii shughuri ingeanza upya[emoji2]Hawa sato waliwahi kuniletea matatizo. Those good ole [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1156809