Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua bro. Nakamisi Kazaramo kale kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji16][emoji16][emoji16]Mzaramo angekuwepo hii shughuri ingeanza upya[emoji2]
Najua bro. Nakamisi Kazaramo kale kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji16][emoji16][emoji16]Mzaramo angekuwepo hii shughuri ingeanza upya[emoji2]
Kuna sehemu tayari mf. Australia.Bado vipo ila wapo kwenye mchakato wa kuviondoa
Hahah! Leo umejua kutufanyisha interviewBro,
Uonavyo wewe kuna ulazima wa Barcelona kumsajiri Neymar?
Kukaza kwa maana ya kukaza au kukaza kwa maana ya ugumu? [emoji16][emoji16]Mimi sina neno hapa cha msingi ni kukaza Tu
Inatajwa kuwa chanzo kimojawapo kikubwa cha inferiority complex, msongo wa mawazo na hata kujiua. Ni tatizo kubwa ndiyo maana hatua hii inaungwa mkono sana na wanasaikolojia wengi.Sehemu yeyote mabadiliko yanapotokea kuyumba hakuepukiki ila watu watazoea, unajua kuna watu hawapo huru na IG kutokana na idadi ndogo ya likes wanayopata inawafanya kujisikia inferior, sasa kwa hili nao watakua huru....
Kuhusu Comments kama unavyojua malalamiko hasa mastar wakilalamika kila siku kutupiwa maneno machafu sasa hii itasaidia sana kupunguza hivi vilio
Hahaha wakatalunya leo wote mpo,nasubiri majibu broHahah! Leo umejua kutufanyisha interview
Sababu za msingi hizi maana ni muda mrefu tunasikia watu wanajiua kutokana na hayo ma cyber bullyingInatajwa kuwa chanzo kimojawapo kikubwa cha inferiority complex, msongo wa mawazo na hata kujiua. Ni tatizo kubwa ndiyo maana hatua hii inaungwa mkono sana na wanasaikolojia wengi.
Hapana. Mabadiliko (hata ambayo hayakukusudiwa) yanapojitokeza na kuathiri huduma yako inabidi uyazingatie. Hawa jamaa wana followers mamilioni na ndiyo hasa wanaisukuma IG kubakia kileleni. Huwezi tu kuwatupilia mbali. Youtube wamepelekwa mahakamani kutokana na tabia yao ya kufungia channel za watu bila huruma hata kama mtu anategemea channel hiyo kuendeshea maisha yake. Na watetezi wa haki za binadamu na masuala ya ajira wanasema wataishia kulipa mamilioni ya dola. Youtube wamesema wataunda timu itakayokuwa inapokea malalamiko ya watu waliofungiwa akaunti zao na kuyashughulikia kihalali. Platforms hizi zinaendeshwa na watumiaji; na watumiaji wana haki pia.Kwani IG wenyewe walianzisha hii kitu wakijua watu watafanya biashara au watu wenyewe ndio walijiongeza tu? Kama wahusika halikua lengo lao sidhani kama watazingatia sana hivi vilio
Haha na muda sikaoni,hope kapo salama ni majukumu tu yamekatingaNajua bro. Nakamisi Kazaramo kale kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji16][emoji16][emoji16]
Si ajabu wamekawowa [emoji16][emoji16][emoji16]Haha na muda sikaoni,hope kapo salama ni majukumu tu yamekatinga
Hahah!Hahaha wakatalunya leo wote mpo,nasubiri majibu bro
Hahah na yule msukuma wake,huwa kanasema kanataka kuolewa usukumaniSi ajabu wamekawowa [emoji16][emoji16][emoji16]
PSG wanakaza sana
Thank..na kwako pia mkuuUsiku mwema wadau...
Kukaza kwa maana ya kukaza au kukaza kwa maana ya ugumu? [emoji16][emoji16]
Bro,
Uonavyo wewe kuna ulazima wa Barcelona kumsajiri Neymar?
Mikikimikiki ya Usukumani kale hakawezi katakwenda kujifia tu hamna kitu. Kanastahili mwanaume wa Dar [emoji817] [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah na yule msukuma wake,huwa kanasema kanataka kuolewa usukumani
Ok sawa bro,kila la kheri kwenye usajiri wake!!Yeah ulazima ni Mkubwa sana Bro