Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wengine wanatamani wengekuwa haka katotoView attachment 1156798
Nikifika heaven na nikawa face to face na Creator nitamuuliza swali lenye chembe chembe za uKiranga..."Kwa nini uliwaumba wanawake kwa ufundi na mvuto wa ajabu vile halafu tena ukatuwekea angalizo tusiwafaudu? Ulikuwa ni mtego ama?"
 
Hahaha aisee umenichekesha sana bro,
Kuna pisi zingine Muumba kama alizipendelea hivi,ameziumba kwa stadi wa hali ya juu sana,,,unaweza kwenda mbali zaidi ukawaza hivi pisi kama hii na yenyewe inaenda chooni[emoji16]
 
Kama kawaida yake yule bro ni genius, aliwaambia wakitaka ajiunge huko watoe kipengele cha likes na comments hatimae wameanza kufanyia kazi hilo swala
Watu wanaoendesha maisha yao kutegemea IG tayari wanalalamika kuwa vipato vyao vitaporomoka sana. Tayari kuna petition inaendelea na wanasema bila kuonyesha idadi ya likes IG itakosa ladha na wengi watahama...
 
Nikifika heaven na nikawa face to face na Creator nitamuuliza swali lenye chembe chembe za uKiranga..."Kwa nini uliwaumba wanawake kwa ufundi na mvuto wa ajabu vile halafu tena ukatuwekea angalizo tusiwafaudu? Ulikuwa ni mtego ama?"

Bro bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…