The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nilipata nikashukuru, ila skubahatika kuona mjadala wa kumvunja moyo ningekanusha[emoji58]Kumbe ulipata zile vocha? Tulilalamika sana kuwa tumemvunja moyo prof kwa kutotoa shukrani laivu. Na tangu siku ile hajarudi tena...
I hope you are OK now...I understand, i had one of those yesterday!
Mmmh..aah aaah.. I have a feeling tumepishana 3-5 years tu!π or 10?Nipe shikamoo Fraggy [emoji16]
Ooh safi sana..mie kwa vile umenipa Green light, utakutana na shikamoo zako Ngosha[emoji23]King come see this answer here. Mechiii !!![emoji351][emoji351][emoji351]
Huwa najisikia vizuri sana nikipewa shikamoo kwa sababu umri wangu unaniruhusu. Natamani sana maandaeitini wote humu muwe mnanipa shikamoo. Kulikuwa na mmoja tu aliyekuwa ananipa shikamoo consistently ila naye siku hizi keshaacha. Itafurahisha ukichukua nafasi yake.
Zeafo; naitikia shikamoo yako kwa heshima kubwa na taadhima: Marahabaaaaaaaaaa !!!
I am good..I hope you are OK now...
That's life...and it happens. We dust ourselves, get up and match forward [emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Sasa ushakuwa mwenyeji wewe. Usiwe tu unapotea sana. Kama mtunza kumbukumbu, nakutambua rasmi sasa kama mwenyeji humu. Jisikie huru kabisa....Ah, hapo kwenye kujua alipataje uking bado sijafahamu kiukweli...ila jina naliona ona akiitwa na anafurahi kweli[emoji23]
Hili la kwako nilitambulishwa na wewe pindi mnanipokea..!
Asante sana !!!Ooh safi sana..mie kwa vile umenipa Green light, utakutana na shikamoo zako Ngosha[emoji23]
π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Sawa leo tutaenjoy mechi pamoja[emoji38][emoji38]
Leo silali, nina hamu na mechi, nyingi zimenipita
Sasa kama unahisi tumepishana 10 years hapo si ni haki kabisa kunipa shikamoo. Tatizo liko wapi jamani?Mmmh..aah aaah.. I have a feeling tumepishana 3-5 years tu![emoji12] or 10?
πππ hatari sana! mwenye kisu kikali ndio anakula nyama!Kulikuwa na kipindi humu ilikuwa ukiondoka wani awa tu unakuta wajanja wameshabeba baby wako. Watu walikuwa wanatembea na pete za ndoa mfukoni na kulikuwa na harusi almost deile. Those were the days man. KK aka Pimbi popote ulipo heshima yako [emoji16][emoji16]
Dah! kuanzia kesho ntakuamkia basi...Sasa kama unahisi tumepishana 10 years hapo si ni haki kabisa kunipa shikamoo. Tatizo liko wapi jamani?
Mimi nimeshiriki kwenye harakati za kupigania uhuru wa nchi hii jamani. Msininyanyapalie shikamoo zenu maandaeitini [emoji16]
Sawa sawa nashukuru sanaSasa ushakuwa mwenyeji wewe. Usiwe tu unapotea sana. Kama mtunza kumbukumbu, nakutambua rasmi sasa kama mwenyeji humu. Jisikie huru kabisa....
Na uendelee kuwa unanipa shikamoo [emoji16]
ππππππππππππ. Daah!We cheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#ukitoswahukoshaurilo
#rahayampapasokucha
#kataufulie
No she is just doing her job. Just pray for her, be as nice as you can and excel at your job...I am good..
Damn that Boss of mine..Sometimes I think the Devil uses her to annoy me!
Huku mambo ni fireee weekend ishaanza
Una kiu Cole??
Kesho nitaamka mapema na kujisopusopu tayari kusubiria shikamoo yako. Hata breakfast sitakula mpaka niipate kwanzaDah! kuanzia kesho ntakuamkia basi...