AmesharudiSi nasikia katoka, kaenda kupokea tuzo yake. Au kuna mtu kamuacha?
Shwari, nikajua utaikataa shikamoo yangu.Marahaba young bro. Kwema huko kwako?
Ndio hivyo, nikija Mwanza ntakua nakutafita uniwashie hotspot.Aaah buraza
Kupewa shikamoo ni dalili ya heshima bro. Niikatae kwa nini wakati umri unaniruhusu bro? Umepata jiko juzi juzi hapa si ajabu hata 30 hujafikisha bro sawa na maandaeitini wenzio. Keep those shikamoo coming na hayo mambo ya alfa na omega yakafie huko [emoji16][emoji16][emoji16]Shwari, nikajua utaikataa shikamoo yangu.
Hiyo ni ya alfa na omega [emoji2][emoji2]
Utaipata kama tuu hatutawasiliana kwa zaidi ya mwezi mmoja.Kupewa shikamoo ni dalili ya heshima bro. Niikatae kwa nini wakati umri unaniruhusu bro? Umepata jiko juzi juzi hapa si ajabu hata 30 hujafikisha bro sawa na maandaeitini wenzio. Keep those shikamoo coming na hayo mambo ya alfa na omega yakafie huko [emoji16][emoji16][emoji16]
i.e kama umeonja maji ya bahari basi umeonja na nanihii
Eeh bhana, napenda sana kufurahii ya nini nipate makunyazi[emoji28]!Kila kitu humu ndani inabidi ufurahi tu maana ukikasirika utazeeka mapema. Ata wewe nakuona upo vizuri unajua kwenda sawa na wanajamii [emoji3]
Huku hakuna jipya bro...Utaipata kama tuu hatutawasiliana kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Mishe zinasemaje lkn?Summer hii hatuna safari yoyote?
#hukuUmaKuleKisu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hee king kumbe umemfuga mikono yote
#uwiiiinimedabamtu
#wakishuahulagiugaliee
#aunimwendowakijiko
Kwa hiyo na wewe uso wako ni full mng'aro kama wa Fraggy?Eeh bhana, napenda sana kufurahii ya nini nipate makunyazi[emoji28]!
Mimi sijui bana utaenda nyanda zipi.Huku hakuna jipya bro...
Safari ya kwenda wapi? Karibu Koromije huku kama hujawahi kufika
Hahah Jamani mie nipo low stage, sijamfikia fraggy[emoji13][emoji13]Kwa hiyo na wewe uso wako ni full mng'aro kama wa Fraggy?