Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumbe unaongelea ile kashfa ya nyanda za juu kusini niliyozushiwa na King Dave?Mimi sijui bana utaenda nyanda zipi.
Kumbe upo kanda ya ziwa tyr?
Kuna vyakula alisema inabidi kula ili kung'arisha ngozi. Muulizie vizuri halafu baada ya miezi mitatu hivi ulete mrejesho [emoji16][emoji16]Hahah Jamani mie nipo low stage, sijamfikia fraggy[emoji13][emoji13]
hahahahaha, yeah.Kumbe unaongelea ile kashfa ya nyanda za juu kusini niliyozushiwa na King Dave?
Kanda ya Ziwa sijafika bado ila niko mbioni.
Yu'kwapi aje anipe orodha hio niifanyie kazi, nnavyopenda kula[emoji125][emoji125]Kuna vyakula alisema inabidi kula ili kung'arisha ngozi. Muulizie vizuri halafu baada ya miezi mitatu hivi ulete mrejesho [emoji16][emoji16]
[emoji317][emoji317]
Ntakua nafatilia mechi za barca kisa griezman
Salama kabsa,za masiku?unaendeleaje hukoNipo ninge, habari?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tayali nmekuwa fundi tenaHakuna kitu fundi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeWe unafikiri Frankie De jong kuwa pembeni ya Sergio bisquet nini kitatokea ni mabadiliko ya mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa sawa broUkishindwa kuniamini mimi Age mate wako utamuamini nani jamani? Huwezi kuumia huo ndio upande salama zaidi ya ule mwingine
[emoji122][emoji122]
Heee!Kwa hiyo na wewe uso wako ni full mng'aro kama wa Fraggy?