D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
swadakta, inapotokezea madaraka yakarithiwa na mwanadamu asiyeangalia sura ya mtu basi wanakuwa wanyonge sana, muda mchache baadae unasikia kiongozi fulani ni mgonjwa kumbe stress za kukosa cheo ndio zinamaliza uhai wake.Aiseee. Ndiyo maana watu hung'ang'aniamo na hata kujaribu kumshawishi mtu wao abadili katiba ili aendelee kubakia madarakani nao waendelee kufaudu. Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha namuona Kingi kajarbu hapo chini hali imekuwa tete
Dah kuna mengi... Na mengi hayafanyi vizuri.. Always Do deep conditioning ndio nywele zinakuwa healthy.. tumia natural mafuta ya olives na Coconut.uchanganye na conditioner angalau mara moja kwa wiki
Apumzike mahali anapostahili.Kuna maeneo ni upweke sana kigamboni sio kama kwetu Uswahilini Mbagara nyumba zimebanana mno.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mi najua basi bro?
Mi najiwekea tu. Kama umegonga likes basi tosha kabisa!!!
Kijana mpole anauliza utafikiri hajui mambo ya humu. Utafikiri hakuwepo wakati wa mnyukano wa akina Rutta na malkia...mchakamchaka wa namba na mengineyo...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Haya mambo ya likes haya....
Huu uzi kuna muda siulewi kabisa.Yaani kuna watu humu hata kuwasogelea ile ya laivu laivu hatuwezi ila humu wamejishusha hadi tunawatania hata akina sisi!!!Aiseee. Ndiyo maana watu hung'ang'aniamo na hata kujaribu kumshawishi mtu wao abadili katiba ili aendelee kubakia madarakani nao waendelee kufaudu. Mwalimu Nyerere aliwahi kulizungumzia hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana mpole anauliza utafikiri hajui mambo ya humu. Utafikiri hakuwepo wakati wa mnyukano wa akina Rutta na malkia...mchakamchaka wa namba na mengineyo...
πππHuu uzi kuna muda siulewi kabisa.Yaani kuna watu humu hata kuwasogelea ile ya laivu laivu hatuwezi ila humu wamejishusha hadi tunawatania hata akina sisi!!!
Naamini mbinguni nitaingia,hata kwa kigezo cha "likes" au kwa kutumia vigezo vya uzi huu... "Upendo na amani"
Acha niringe hata kabla iziraeli hajakamu View attachment 1157717
Huu uzi kuna muda siulewi kabisa.Yaani kuna watu humu hata kuwasogelea ile ya laivu laivu hatuwezi ila humu wamejishusha hadi tunawatania hata akina sisi!!!
Naamini mbinguni nitaingia,hata kwa kigezo cha "likes" au kwa kutumia vigezo vya uzi huu... "Upendo na amani"
Acha niringe hata kabla iziraeli hajakamu View attachment 1157717
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ushapata kimpumu leo si mchezo! [emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yego kwema ndugu yangu?
Yaani mkuu Dae huwa simchukulii poa kabisa.
Kuna nini leo?Nani kaibuka kidedea huko, niko katikati ya ziwa Nyanza hapa narusha nyavu zangu; sijui kinachoendelea huko!